Rais John Magufuli, leo amewaapisha Mawaziri na Manaibu Waziri aliowateua katika uteuzi wake wa awamu ya pili, Ikulu jijini Dar es Salaam