Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella kufuatia vifo vya watu 12.