Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisaini kitabu baada ya kupokewa na wafanyakazi mbali mbali kutoka Wizara ya Afya baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Picha ya pamoja ya Viongozi Wakuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ikiongozwa na Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu (wakatikati), Naibu Waziri Dkt. Faustine Ndugulile wakwanza kushoto na Katibu Mkuu wa Wizara Dkt. Mpoki Ulisubisya wa mwisho kulia.
Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mh. Ummy Mwalimu akimtambulisha Naibu Waziri wa wizara hiyo Dkt. Faustine Ndugulile muda mfupi baada ya kuapishwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akisaini kitabu muda mfupi baada ya baada ya kuapishwa na Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es salaam kulia ni Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akilakiwa na wafanyakazi wa wizara hiyo huku akiwa ameongoza na Waziri Ummy Mwalimu baada ya kuwasili wizarani hapo.