Mwanaume mwenye umri wa miaka 54 Kareem Verjee amefariki Dunia akiwa katika sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii kinasemamtu huyo alifika maeneo hayo na kuanza maazoezi yake kama kawaida lakini bada ya muda alipa tatzo la kupooza kwa muda hup huo.

Inasemekana baada ya hapo walimuita Daktari kutoka AAR ambapo alifika na kuanza kumpatia matibabu lakini baada ya dakika 30 mtu huyo alikuwa ameshafariki.

Tukio hilo limetokea nchini Nairobi maeneo ya parklands ambapo gym hiyo inapatika.

Aidha jeshi la Polisi katika eneo hilo linaendelea na uchuguzi kuweza kubaini chanzo cha kifo

Mwanaume mwenye umri wa miaka 54 Kareem Verjee amefariki Dunia akiwa katika sehemu ya kufanyia mazoezi (Gym).

Kwa mujibu wa chanzo cha habari hii kinasemamtu huyo alifika maeneo hayo na kuanza maazoezi yake kama kawaida lakini bada ya muda alipa tatzo la kupooza kwa muda hup huo.

Inasemekana baada ya hapo walimuita Daktari kutoka AAR ambapo alifika na kuanza kumpatia matibabu lakini baada ya dakika 30 mtu huyo alikuwa ameshafariki.

Tukio hilo limetokea nchini Nairobi maeneo ya parklands ambapo gym hiyo inapatika.

Aidha jeshi la Polisi katika eneo hilo linaendelea na uchuguzi kuweza kubaini chanzo cha kifo chake.