Muimbaji wa Bongofleva Dyna Nyange amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuonekana amepost Diamond Platnumz kupitia ukurasa wake wa instagram, Dyana na Diamond waliingia katika mvutano baada ya Diamond kutoa wimbo wa Number One ambao Dyna alilaumu kuwa imechukuliwa idea yake.