Mshindi wa Big Brother Africa 2014 Idris Sultan ameweka wazi vipimo vinavyoonyesha kuwa hana virusi vya ukimwi ambapo Karatasi hiyo ilionesha amepima ukimwi na VDLR.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Idris ameweka picha inayoonyesha karatasi yenye majibu ya vipimo ya afya yake alivyovifanya leo Ijumaa katika hospital ya AAR.

Karatasi hiyo inaonyesha kuwa hana virusi vya ukimwi wala homa magonjwa ya zinaa.

Picha hiyo ilibebwa na ujumbe uliosomeka, “Barua ya wazi kwa mwanamke ninayemtongoza ni matumaini yangu hii itakufanya unipe moyo wako wote. Nimejaribu kufaulu lakini kama unavyoona vipimo vyote nimefeli na hakuna mtihani ninaoupenda kama kufeli.”