Sio tu ushindi wa tuzo za muziki wa Hi Hop ila pia tunasherehekea ulimwengeu wa mitindo kupitia BET Hip Hop Awards 2017, zilizofanyika usiku wa jana nchini Marekani ambapo mwanadada Cardi B aliweza kungara kwa kusomba tuzo takribani tano.

Shughuli hiyo iliudhuriwa na wadau mbalimbali wa muziki pamoja na mastaa kama Black Chyna aliyetinga kwa kivazi chake matata bila kusahau Dj Khaled akiongozana na mwanaye Asahd. Hawa ni baadhi ya mastaa waliobamba katika zuria la kijani la BET Hip Hop Awards 2017.

Cardi B Dj Khaled na mtoto wake Asahd Lil Yachty Blac Chyna T-Pain Zonnique ASAP Rocky Keyshia