Pics Paul Cousans/Zenpix Ltd Man Utd players arrive for training today ahead of their away tie against Liverpool on Saturday Zlatan back in the fold
Pics Paul Cousans/Zenpix Ltd Man Utd players arrive for training today ahead of their away tie against Liverpool on Saturday Zlatan back in the fold
Baada ya mechi zakimataifa kumalizika na kushuhudia baadhi ya nchi zikikata tiketi za kucheza kombe la dunia mwakani nchini Russia,Baadhi ya wachezaji tayari wamerudi kwenye klabu zao kwa ajili ya kujiandaa na mechi za ligi mbalimbali ambazo zitachezwa wikiendi hii.

Sasa kikubwa ni wachezaji wa Man United leo wameonekana kila mmoja akiwa na usafiri wake wkiingia katika viunga vya AON complex huko jijini Manchester kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wao mgumu wa ugenini utakaopigwa katika dimba la Anfield mapema jumamosi,Wachezaji hao wameonekana wakiongozwa na kocha wao Mourinho ambaye naye aliingia na gari lake kali.Tazama hapo chini na magari yao