Huyu ndiye anayesadikiwa kuwa Tajiri namba moja Tanzania nzima anaitwa Mzee Bahkressa, ndiye Mmiliki wa Azam Company Inc. kwa kawaida huwa ni mtu asiyependa kuonekana sana kwenye public na hii moja ya picha yake adimu sana kupatikana.