Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akisalimiana na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi akifuatana na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi wa pili kulia) akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akizungumza na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo akiwa na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman,

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akibadilishana mawazo na Waziri wa Mafuta na Gesi wa Oman Dkt.Mohammed Bin Hamed Al Ruhmi baada ya mazungumzo na Ujumbe wa Viongozi mbali mbali kutoka Serikali ya Oman, walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo

Picha na Ikulu