Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akisisitiza jambo wakati akiongea na Waandishi wa Habari kuhusu mambo mbalimbali ya watumishi wa umma jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.Picha na:

Frank Shija – MAELEZO