Naibu Wazari wa kitengo cha makosa ya mtandaoni, Joshua Mwangasa amewataka viongozi wa makundi ya whatsup kutoa taarifa pindi uharifu unapofanyika.

Amesema kwenye makundi yao kwa kiasi kikubwakumekuwa yakitumika vibaya kwa kusambaza taarifa za uongo na uchochezi.

Aidha baadhi ya makundi hayo huwa yanakuwa ya kwanza kwenye kusambaza taarifa za uongo ambapo mtu anaweza kuleta ujumbe wa uchochezi na unakuwa una sambaa kwa haraka hivyo Admin atakapo ona tu jumbe hizo atoe taarifa Polisi.