Rais Magufuli ni mgeni rasmi kwenye kilele Cha mbio za Mwenge wa Uhuru zinazohitimishwa mjini Zanzibar pia kumbukumbu ya kifo cha Rais wa awamu ya kwanza, Mwalimu Julius K. Nyerere