Mheshimiwa Jenista Joachim Mhagama akiwa ameshika mwenge wa uhuru na Upande wa kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mheshimiwa Ayoub Mahmoud.

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli akiwasili uwanja wa Amaan mjini Zanzibar huku akiwapungia mkono wananchi waliofika kwenye maadhimisho ya kilele cha mbio za mwenge wa uhuru.

Mh.Magufuli akisalimiana na Raisi wa Zanzibar Ali Mohamed Shein.

Mh.Magufuli akisalimiana na Makamu wake Mama Samia Suluhu.

Mheshimiwa Ayoub Mahmoud Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi akiwasili uwanjani.

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa  Tanzania akiwasili uwanjani hapo.