Penzi la Diamond na Zari na utamu kunoga

Penzi la msanii muziki Diamond Platnumz na mama watoto wake Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady ni moto wa kuotea mbali, kwani penzi hilo limeonyesha kuwa imara kila kukicha licha ya kuwa wanapitia misukiosuko kadhaa ya kimaisha.

Zari ambaye amempa heshima msanii huyo kwa kumleta watoto wawili Latifa na Nillan, alitua siku ya jana katika uwanja wa Ndege wa Julis Nyerere kwa ajili ya uzinduzi wa duka la Danube, Ukumbi wa Mlimani City.

Wawili hao kwa sasa wapo Kisiwani Zanzibar kwa ajili ya mampumziki ya siku kadhaa. Siku kadhaa wawili hao walidaiwa kuwa wametemana baada ya mrembo huyo kutoonekana katika birthday ya Diamond.