Diamond na Zari The Bosslady si wa kuachana leo wala kesho. Mastaa hao wameamua kulipeleka huba lao Zanzibar Jumamosi hii. Muda mfupi baada ya kumaliza kazi yake ya kuhost ufunguzi wa duka la Danube Home pande za Mlimani City, Zari aliungana na mzazi mwenzake, Chibudenga kupaa pipa kuelekea Zanzibar ambako Mond anatumbuiza usiku.