Mashabiki wa Harmonize hii ilikua kiu kubwa sana baada ya kusikia kwamba Mwimbaji huyu wa Bongofleva amefanya kolabo na Mnigeria Korede, kiu imekatwa leo na video yenyewe ndio hii hapa chini ukishamaliza kuitazama usisahau kudondosha comment yako