KATIKA ENTERTAINMENT SECTOR KWA TANZANIA NADHANI TULIKUWA HATUJAWAHI PATA COUPLE AMBAYO IMEWEZA KUCHANGAMSHA GAME NA KUTENGENEZA FEDHA KAMA HII YA @zarithebosslady na @diamondplatnumz.
Nadhani mazoea makubwa yaliyokuwepo ni kuona mastaa wetu wakiwa kwenye mahusiano ambayo malengo makubwa yalikuwa kuonesha mahaba lakini sio kwa njia ya kutengeneza pesa.

KWANINI #ZARIMOND INAONEKANA KAMA VITAMIN C KWENYE INDUSTRY YA ENTERTAINMENT TANZANIA.

1)#ZARIMOND walianza rasmi kuonekana kwa usiku wa tuzo 3 za CHANEL.O

2)#ZARIMOND kupitia mahusiano yao #ZARIALLWHITEPARTY ikafanyika Uganda kwa mafanikio makubwa

3)#ZARIMOND wakaona haitoshi kwa mara ya kwanza kama wapenzi wakatengeneza event ya #ZARIALLWHITEPARTY Tanzania ambayo inaweza shika record kuwa event iliyokuwa na kiingilio kikubwa zaidi kufanyika ikihusisha mtu na mpenzi.

4)#ZARIMOND kupitia mtoto wao @princess_tiffah na @princenillan wakawaonesha watu jinsi ya kugeuza watoto kuwa asset ndio mana mpaka sasa watoto wao wanashikilia record ya ubalozi wa bidha kubwa.

6)#ZARIMOND kama wapenzi wametengeneza deals kubwa za matangazo kama @vodacom @gsm na mengine.

7)#ZARIMOND wamejitengenezea umaarufu mkubwa wa kufatiliwa mitandaoni kiasi cha kuwapa deals kubwa kutokana na wingi wa followers wao.

#ZARIMOND imekuwa couple ambayo inauza sana habari zake za mahusiano na ambayo inajua kufanya showbiz ndio mana matukio yao yanaripotiwa na media kubwa kama @mtvbase

8)#ZARIMOND wametoa uhai kwa page nyingi za watu mitandaoni iwe wanaowapenda au wanaowachukia.

9)#ZARIMOND wamekuwa wanashirikiana sana kwenye kazi mfano @zarithebosslady kuwa video queen kwenye #JEUTANIPENDA na hata kumfanyia diamond connection za kazi zake SOUTH AFRICA.

10)#ZARIMOND wanaweza kugeuza tatizo kuwa pesa kama ishu ya hereni ilipogeuzwa kuwa sehemu ya tangazo wakapiga hela.Kila tatizo kwao linageuzwa fursa na wanapiga hela.

NA MENGINE MENGI.

Hii ni couple anbayo wana habari wanaifurahia mana kila siku inatoa habari za kuzungumziwa.

NADHANI WENGINE WAJIFUNZE KUTENGENEZA COUPLE AMBAZO NI ASSET KAMA WANATAKA KUFANYA SHOWBIZ.

KUWA KATIKA MAHUSIANO WATU MAARUFU SIO SIFA SIFA NI PALE MNAPOTUMIA MAHUSIANO KU- MAKE MONEY.
By @abby1_thebest