Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw.Stephen B.Kargo alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,
Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na mgeni wake Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshuhulikia Maendeleo ya Viwanda (UNIDO) Bw.Stephen B.Kargo alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,
Picha na Ikulu.