Manchester United wametua nchini Ureno tayari kuivaa Benfica katika mechi ya Ligi ya Mabingwa barani Ulayam kesho kutwa.
Mechi hiyo itapigwa kesho, Man United wakiwa ugenini lakini watakuwa na kumbukumbu ya sare ya bila mabao dhidi ya Liverpool katika Ligi Kuu England.

Man United haikuonyesha soka la kuvutia au ilivyotegemewa na wengi na sasa inaonekana wana kazi ya kuinua matumaini ya mashabiki yao kwa kushinda Ureno.

D