Naibu Waziri mpya wa Nishati Mama Mgalu, aliyeteuliwa hivi karibuni na Rais Magufuli alipowasili Mjini Dodoma kujitambulisha ofisini kwake na kuanza kazi rasmi leo live.