Related imageTAKUKURU wamesema wameshangazwa na Wabunge Nassari na Lema kuongea na waandishi baada ya kutupa ushahidi, na walicholeta Lema na Nassari sio ushahidi ni taarifa na wanaifanyia kazi

Pia ametoa Onyo kwa Nassari wasiwe wanaishinikiza chombo hicho na kukiwekakwenye malumbano ya kisiasa

Amemshangaa Nassari kuuliza kuuliza kwa nini hawajaupeleka ushahidi huo mahakamani mpaka sasa na kusema wao wana hatua za kufanya ndipo wapeleke kesi mahakamani na masuala mengine yanaweza kudhaniwa ni rushwa kumbe ni ‘moral wrong’ tu