Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapunga mkono wakati alipofuatana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Baadhi ya Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Wanafunzi wa Skuli za Binafsi pia ni miongoni mwa wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),wakiwa katika ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja katika hafla ya kupongezwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ambapo Dk.Shein aliwaandalia chakula cha mchana na kuwapa zawadi wanafunzi bora kimasomo 2016/2017,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kushoto) alipokuwa akizungumza na machache na Kuwaasa wanafunzi pia kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja leo kuzungumza katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017),[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akimkabidhi zawadi Sumaiya Omar Issa Zanzibar Feza akiwa ni miongoni mwa wanafunzi bora kimasomo 2016/2017,katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja (kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akizungumza na Wanafunzi na Walimu wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akimkabidhi zawadi Marium Mohamed Suleiman kwa niaba ya Mariam Mohamed Ali,wanafunzi bora wa Sayansi (SUZA) katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja(kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma, [Picha na Ikulu.] 17/10/2017.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) alipokuwa akimkabidhi zawadi Mikidadi Mahmoud Mwindadi Skuli ya Lumumba akiwa ni mwanafunzi bora wa Jumla katika hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja(kushoto)Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Baadhi ya Viongozi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Baadhi ya wanafunzi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.

Baadhi ya wanafunzi wakichukua chakula cha mchana wakati wa hafla ya kuwapongeza Wanafunzi waliopata Daraja la Kwanza Kidato cha Nne (2016) na Kidato cha Sita (2017) iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kwa wanafunzi hao leo katika Ukumbi wa Zamani wa Baraza la Wawakilishi,Kikwajuni Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 17/10/2017.