Katibu Mkuu wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) Amina Makilagi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Idara ya Oganaizesheni Pereila Silima wakiwasili ukumbini tayari kwa ajili ya kusimamia Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. 

Wajumbe na waalikwa wakishangilia baada ya viongozi wa meza kuu kuwasili ukumbini kuanza Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017. 

 Wajumbe na waalikwa wakishangilia baada ya viongozi wa meza kuu kuwasili ukumbini kuanza Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.

 Wajumbe na waalikwa wakishangilia baada ya viongozi wa meza kuu kuwasili ukumbini kuanza Kikao cha kawaida cha Baraza Kuu la Jumuiya hiyo ngazi ya Taifa, kilichofanyika Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, leo Oktoba17, 2017.

 Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzania (UWT) na Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima wakifurahi baada ya kuwasili ukumbini

 Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi akitoa maelezo ya awali kuanza kikao hicho

 “kikao hiki tutakiendesha kwa mujibu wa Katiba yetu hii ya UWT…” anafafanua Amina Makilagi

 Makilagi akitangazia wajumbea kumchagua Mwenyekiti wa muda wa kuendesha kikao hicho. Mwenyekiti wa muda ilibidi achaguliwe kutokana na aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa Sophia Simba, kuvuliwa uongozi kutokana na kupatikana na hatia ya kuisaliti CCM wakati wa Uchaguzi Mkuu uliopita.

 Wajumbea wakipiga kura za kunyoosha mikono kuchagua Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho

 Wajumbea wakipiga kura za kunyoosha mikono kuchagua Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho ambapo walimchagua Diana Chilolo kutoka Singida

 Diana Chilolo akienda meza kuu

 Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi akiwa amesimama kumlaki meza kuu Diana Chilolo

 Diana Chilolo akikaribishwa meza kuu

 Katibu wa NEC Oganaizesheni Pereila Silima (kushoto) akiwa amesimama baada ya kutambulishwa kwa wajumbe na Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi (kulia), Utambulisho huo ulifanyika baada ya Mweneyekiti wa muda wa kikao hcho Dina Chilolo (katikati) kuketi.

 Wajumbe wakiwa ukumbini

 Wajumbea wakiwa ukumbini

 Wajumbea ukumbini

 Kikao kikianza kushika kasi

 Mama Makilagi akiendelea kutoa maelezo na kumkaribisha mwenyekiti wa muda wa kikao hicho kuzungumza  

 Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho Diana Chilolo akizungumza

 Mama Makilagi akiendelea kuzungumzia hatua nyingine za kikao hicho baada ya kukaribishwa na Mwenyekiti wa muda kufanya hivyo

 Mama Makilagi akiendelea kuzungumza

 Mama Makilagi akitambulisha wajumbe na walikwa kina mama ambao wamepewa nyadhifa mbalimbali na Rais Dk. John Magufuli hivi karibuni ambapo alimshukuru Rais kwa kuendelea kuwapa nafasi za uongozi wanawake.

 Naibu Waziri wa Maendeleo ya Wanawake, Vijana na Watoto katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar aliyeteuliwa hivi karibuni Shadya Mohammed Silima akisalimia baada ya kutambulishwa 

 Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mgeni Hassan Juma akisalimia alipotambulishwa katika kikao hicho.

 Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho

 Kikao kikiendelea baada ya baadhi ya viongozi kukaribishwa meza kuu

Taswira ya kikao hicho ndani ya kumbini, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. PICHA ZAIDI-BOFYA HAPA