The Art of KUJITAMBUA I mean knowing yourself binafsi ninamshukuru sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kuishi USA cause kule Jamii na Mfumo wa Maisha ulinifundisha haraka na mapema sana kwamba I was nobody pamoja na kwamba huku Bongo kipindi kile Baba yangu alikuwa Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais lakini kwa system ya maisha kule nisingeweza hata kuthubutu kumuambia mtu cause jawabu lingekuwa SO WHAT? ….hahahaha…Bongo mpaka leo bado tunahangaika na hangovers za SOCIALISM system of life tuliyo jaribu kuiishi kwa Miaka 23 ya Awamu ya Kwanza ambayo tatizo lake namba moja lilikuwa ni the core of it that BINADAM WOTE NI SAWA cause we are not na ndio maana mpaka leo hili Taifa we are struggling na WHO WE ARE? kwa sababu under ile siasa ilikuwa ni muhimu kwa Jamii na Serikali kila wakati kuchungana each other kuhakikisha tupo sawa automatically tukaingiza tabia ya kuingilia maisha ya wengine bila kujali yako kwanza na kwa sababu ile siasa ilikuwa ni ILLUSIONS at best yaani Usawa wa Binadam tukaishia kuanza kuishi kwa KUIGIZA na ndipo RUSHWA ilipoanzia ….guys you are who and what you are huwezi kuwa what you are not …I knew who I was toka nilipoanza kupata Akili ya kujua Right and Wrong kwamba tulikuwa under Ujamaa so Baba yangu alikuwa part ya its Cream System so uwezekano wa kujinufaisha na Cheo haukuwepo na hata yeye hakuwa na hizo ambitions so nikaona Vijana wakipigana na Maisha kwenda at Ubaharia mimi nimekalia Lijina tu mtoto wa Waziri hahahaha nikashituka mapema sana kuwa ninahitaji a serious ID of my Own nikazamia Majuu kutafuta maisha mapema sana ndio maana hata nikaamua kuwa “Le Mutuz Super Brand” ni kuepuka kabisa jina la Mtoto wa Waziri ambalo kimasilahi halikuwa na faida yoyote binafsi zaidi ya kujidanganya tu na nisingejua that naked truth kama sio kufundishwa zaidi na the Americans …guys jitambue who you are wachana na sifa za kijinga za Jamii cause saa ya kulala unakuwa peke yako na Mungu wako jiulize are you what you are living? I mean tumegeuka Taifa la full of Waigizaji ndio maana Watu wanaoishi Kiuhalisia kama kina Zari wanakuja na kuwashinda Dada zetu hapa bongo sababu TUNAIGIZA SANA ….TUBADILIKE! – le Mutuz