Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) (katikati) akikaribishwa na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kikazi katika Tume hiyo mapema leo jijini Dar es Salaam.
Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. Richard Odongo akiwasilisha Taarifa ya Utelekezaji wa Majukumu ya Tume ya Utumishi wa Umma kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) alipofanya ziara ya kikazi katika Tume hiyo mapema leo jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Umma, Bw. George Yambesi akitoa neno la shukurani kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt. (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) mara baada ya Waziri kuzungumza na watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma mapema leo jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) alipokuwa akizungumza nao wakati wa ziara ya kikazi katika Tume hiyo mapema leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapt.(Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika (Mb) akisisitiza jambo kwa watumishi wa Tume ya Utumishi wa Umma (hawapo pichani) alipokuwa akizungumza nao mapema leo jijini Dar es Salaam