The Art of Theraping leo ni kwa wazazi zaidi please take a note here Tanzania hatuna utamaduni wa Therapists ambao kazi yao katika Jamii ni kusaidia jamii kuondokana na bad mental experiences of the past na matokeo yake ni we have created vijana wenye hasira sana katika jamii yetu ni kwa sababu wamepitia maumivu mazito utotoni ambayo kwa kawaida binadam tunatakiwa kuyasahau as we progress and grow in our lives bila ya msaada wa wengine lakini pia kuna ambao uwezo wa akili yao upo very slow huwa wanahitaji msaada wa wengine kuvuka hiyo stage na matokeo ni hawakupewa msaada walipokuwa wanauhitaji now Jamii tunalazimika kuishi nao na kubeba their abuse ni kwa sababu hatuna huo utamaduni wa ma Therapists in our lives here…juzi nimeona Kijana Msomi wa Medicine @ndugulile akiteuliwa na Rais kuwa Naibu Waziri wa Afya my hope ni atatumia experience ya kusomea in the West na kupigania Tanzania tuanze kuwa na utamaduni wa kuwa na Theraping System …I mean it is bad kama huamini pitia our Social Media hasa Instagram najua kuwa Dataz za Dunia sasa hivi zinaonyesha Tanzania kuwa tunaongoza kwa Cybercrimes just Imagine what it takes mpaka Taifa kufikia level ya kuongoza kwa Social Media abuse Duniani? …Wazazi kuweni mamini na how you raise your kids I mean its about time as a Society tukae chini na tujiulize Why Vijana wetu wana hasira kiasi hiki cha kutukana matusi bila hata kufikiria mara mbili kwamba in some cases wanakuwa kama wanajitukana wenyewe WHY? …unakuta kijana mdogo wa Kike anarusha matusi ambayo on a serious note yanamuhusu yeye mwenyewe cause ni yeye ndiye mwenye hivyo viungo vya siri anavyovitumia kwenye lugha zake za abuse WHY? ..ni kwa sababu ana mamumivu mazito ambayo hayakushughilikiwa on time alipokuwa mtoto like aliona ajali mbaya akiwa mtoto au aliona Mama yake anapigwa na Baba yake utotoni huyu mtoto kama hakupewa therapy mapema kwanza ataishia kupiga mke wake na atakuwa abusive tu kwa wengine..badala ya Therapy System bongo tunajenga Ma Bar ya Pombe ambako bila kujua ndiko Wananchi wetu wengi wanakoishia kwenda ku deal na their ugly past kujisahaulisha maumivu ya maisha kwa kutumia Pombe it is wrong TUIBADILISHE! –