Balozi wa Dstv Tanzania Nancy Sumari na mcheza boxing

Kampuni ya Multichoice (DSTV) imetimiza miaka 20 ya kutoa huduma kwa wateja wao ambapo pia wamefanya punguza la bei kwenye bidhaa zao .

Matukio hayo ambayo yanendelea ukumbibwa Mlimani City na wateja wanaofika katika eneo hilo wananua vinga’muzi kwa punguzo la bei.

Hata hivyo kwa mtu anaye nunua King’amuzi anapata kifurishi cha bure kwa muda wa mwezi mzima bila kulipia ghalama yeyote.

Mtoto akifurahi mchezo

Pamoja na mtukio hayo kuna semehemu ya michezo ya watoto ikiwa ni bure kwa watoto wote wanaofika katika eneo hilo na wataweza kuelekezwa chanel nzuri za katuni na kuagalia katuni mbalimbali.

Hata hivyo  kuna sehemu ya mchezo wa boxing yani ngumi na wapo wachezaji wanafanya uhamasishaji wa mazoezi kupitia mchezo huo na kutoa elimu zidi ya boxing.

Baraka Shelukindo Meneja Mwendeshaji Dstv

Dstv wanawakaribisha wananchi wote kufika ukumbi wa Mlima City kujipatia bidhaa kwa bei nafuu na hakuna kiingilio ambapo wakifika na watoto wao watafurahia michezo.