Famous Furniture wasambazaji wa magodoro ya Sealy na masofa ya La Z_Boy wafungua duka la kisasa jijini Dar es Salaam.

Lengo kubwa la kufungua duka hilo ninkukuza uchumi wa Viwanda ambapo wamewataka watanzania kutumia bidhaa zao kwani zina muonekano wa hapa Tanzania.

Baadhi ya Makochi yalipo ndani ya duka hilo

Akizungumza hayo Jijini Dar es Salaam Meneja wa duka hilo Nabeel Dharsel ambaye pia ni Meneja wa duka la thamani za Nyumbani wakati wa uzinfuzi wa duka hilo October 18 Mwaka huu maeneo ya Mlimani City.

“Binadamu muda mwingi kukaa chini hivyo tumeamua kufanya ubunifubwa viti vyabaina hii tukishirikiana na watu wa afya kutoa bidhaa ambazo zitamfanya myumiaji astrmarehe ” amesema.

Hata hivyo mbali na duka hilo wana mpango wa kufungua maduka mengine matano hapa nchini Tanzania na wananchi na wameshauri wananchi wafike katika duka hilo wajipatie na wajionee bidhaa nzuri za kila aina vitanda,magodoro na makochi.