Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli ametuma salamu za rambirambi kwa Mufti Sheikh Aboubakar Zubeir kufutia kifo cha Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Sheikh Abdallah Mkanga kilichotokea tarehe 18, Oktoba mwaka huu.wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli amemtumia salamu za rambirambi