Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwasha mshumaa kuashiria ufunguzi wa Sherehe za Mwaka Mpya wa Kihindu yaani mwaka 2074 Jijini Dar es Salaam, 22 Oktoba, 2017.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akipokea zawadi toka kwa Viongozi wa Kihindu wakati wa Sherehe za Mwaka Mpya wa Kihindu yaani mwaka 2074 zilizofanyika Jijini Dar es Salaam, 22 Oktoba, 2017.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akiwahutubia Wahindu wakati wa Sherehe za Mwaka wao Mpya wa Kihindu yaani mwaka 2074, iliyofanyika Jijini Dar es Salaam, 22 Oktoba, 2017.

(PICHA ZOTE NA BENEDICT LIWENGA)