Uongozi wa kweli huanzia nyumbani kwa Kiongozi …Kiongozi hawezi kuwapenda Wananchi wengi anaowaongoza kama hajui kumpenda mwananchi mmoja tu yaani Mkewe nyumbani kwake…..jana kwa mara nyingine nimeona the otherside of our Super Leader I mean the side of caring by our Young Super Leader Le Commandant Field Marshall RC @paulmakonda kwa mkewe JEMBE @nikypal8585 …Kiongozi wa kweli lazima awe na side ya Uongozi in him ambayo inaonekana in the Public kila siku ….na ni lazima awe na side ya Maisha binafsi ambayo nayo pia ni muhimu kuonekana kwa Wananchi anaowaongoza …again HONGERENI SANA MH. PAUL NA MARIA kwa kutimiza Miaka 6 ya Ndoa …na MUNGU AZIDI KUWAPA MIAKA MINGI ZAIDI YA NDOA NA KUISHI! …kumbukeni kwenye Maisha huwezi KUPENDWA NA WOTE na pia huwezi KUCHUKIWA NA WOTE!…ila la msingi kuliko yote ni kupigania KUPENDWA NA MUNGU TU! AMEN! – le Mutuz