LIVE NIGHT TALK:- Understanding Politicians ni darasa gumu sana limewaletea matatizo watu wengi ambao hawakulisoma vizuri …Wanasiasa wanabadilika kutokana na wakati kwa sababu nia na madhumuni ya Mwanasiasa yoyote Duniani inatakiwa kuwa One day aje kuwa Rais ..now for that Mwanasiasa hawezi kuwa na Rafiki mmoja ni lazima awe na Marafiki wengi na infact kadri anavyopanda juu Mwanasiasa ni lazima abadilishe marafiki na hii hufanyika NATURALLY kutokana na the NEEDS AT HAND …hili ni somo limewashinda sana Wabongo ndio maana Wanasiasa wetu wengi wameishia kuwa maadui wakubwa wa marafiki wao wa zamani au walioanza nao ni kwa sababu ya Marafiki na Wanasiasa kushindwa kulisoma hili somo mapema na hata kushutumiwa kuwa siku hizi wanaringa sana…ukisoma siasa za USA utaona wale wote waliomsaidia Obama kuwa Rais alipofanikiwa tu walijitoa mapema cause walijua kuwa kwenye kutawala Obama kama Rais anahitaji marafiki wapya wa level ya Urais ….Rais wa zamani wa Ghana General Rawlings aliposhika madaraka mara ya pili marafiki zake waliomsaidia aliwapa kazi za Ubalozi nje ya Ghana na wengine waliokataa aliwataka waondoke mara moja kuna aliyekataa akaishia kumuaa yaani General Onqwipa …ni simple Commonsense na ndio maana Wanasiasa wengi wanapopanda juu huoa wake wapya ni kwa sababu wanakuja kugundua kuwa wake zao wa siku zote hawa fit their new Political Status ni kawaida sana …nimeona watu kama Jenerali Ulimwengu alivyokuja kukosana sana na Mkapa baada ya kupata Urais na mpaka leo anaichukia sana CCM ni kwa sababu ya kutokujua hili somo kwamba Wanasiasa hubadilika kutokana na Wakati na Mahitaji ni kawaida so usije kulia lia kwamba Mwanasiasa kakutumia au kakuacha njiani …unapokuwa karibu nao jifunze kuwa huwa wanabadilika kutokana na WAKATI na MAHITAJI jifunze kuwapa Space wape nafasi na usilazimishe umuhimu wako kwao cause sio wajinga wanajua nani ni muhimu kwao na nani sio na kwa wakati gani ….hahahaha …was just thinking loudly cause nasikia vilio vingi vya watu walioachwa kwenye mataa na Wanasiasa guys JIFUNZE KUMUAMINI MUNGU KWANZA mengine baadaye Mungu atakunyanyua tu kwa wakati anaoutaka Usilazimishe! ….ni ushauri wa bure!….Good Nite Guys!