Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu imetoa orodha ya awamu ya pili ya wanafunzi 11,481 wa mwaka wa kwanza waliofanikiwa kupata mikopo.
Orodha hiyo ya wanafunzi ya awamu ya pili inapatikana hapa kwenye tovuti hii (www.heslb.go.tz) na itatumwa kwa vyuo husika. Vilevile,HESLB inawafahamisha wanafunzi wanaoendelea na masomo na umma kwa ujumla kuwa inaendelea kutuma vyuoni majina na fedha za mikopo ya wanafunzi wanaoendelea na masomo ambao wamefaulu mitihani yao.

BOFYA <<HAPA>> KUONA MAJINA YOTE YA WANAFUNZI WALIOPATA MKOPO AWAMU YA PILI

SHARE
Previous article
Next articleMAGAZETI YA UDAKU LEO