The Art of Rejectionism & Accepting the Truth Mungu alinipa Mama mzazi Mkali sana na akanipa Mama wa kambo Mkali na asiyenitaka kabisa so utotoni sikuwa na pa kukimbilia bali kukubali ukweli kwamba ndio maisha Mungu aliyonipangia ni mpaka mbele ya safari ya Maisha yangu nikaja kugundua kwamba Mungu alikuwa ananitayarisha na somo la kukubali REJECTION from others inapotokea na kukubali the FACTS OF LIFE ni masomo 2 yanatutesa sana Wabongo hatupendi kukataliwa na hatupendi kukubali ukweli hasa unaotuhusu…today I am the master of the two subjects in my life yaani hayo masomo mawili hayanisumbui like kukataliwa na Wabebez wabongo wengi hatupendi kukubali ukweli kuwa Mwanamke kakuacha au Mwanamke kukubali kuwa kaachwa utaona Wabongo wanapigana na kufanya mambo mengi nje ya uwezo wao kujionyesha kuwa aidha hawakuachwa au hata kama wameachwa walisha move on …hahahahaha…on a serious not unamdanganya nani? kama sio kujidanganya mwenyewe? gharama yote unayoitumia kujionyesha kuwa hukuachwa unamfurahisha nani? ..matokeo ya yote haya ndio maana Wabongo wengi tunaishi maisha ya kuigiza igiza na ndio maana maisha yangu yanawasumbua wengi sana cause kwa vile wengi ni waigizaji wa maisha wanadhani sisi wengine wote ni waigizaji HAPANA sio wote …ninakumbuka my ex wife alivyohangaika sana kutaka Dunia iamini kuwa kaniacha na sifai hahahaha sikuwahi kuwa hata na tatizo kukubali kwa sababu ninajitambua na I know who I am na ninajua Fact of life kuwa kushindwa kwa marriage au any relationship kunasababishwa na two patners involved always …now imagine six years later yule yule my ex leo anahangaika kunifuatilia kila mahali mpaka humu Instagram na mpaka kuwatumia watu wanitukane humu Instagram kwa mtu aliyeniacha? na ana furaha na maisha yake ya sasa? does it make any sense? …guys my point leo is changamoto katika maisha ni darasa muhimu sana za kukutayarisha na maisha mbele ya safari zikikutokea usipigane kutafuta njia za mkato kuzimaliza tafuta njia ngumu na cha msingi jifundishe kukubali ukweli mgumu na uzoeshe ubongo wako kukubaliana na Ugly Truths …ndio maana unaniona ninaishi maisha ya Stress Free ni kwa sababu hakuna kinachonitisha! – le Mutuz