DSC_0497

Meli ya BGP EXPLORER kutoka China itayoshughulika na Utafiti wa Mafuta na Gesi ambayo imezinduliwa na Makamo wa Rais wa Zanzibar Bolozi Seif Ali Idi ikiwa imetia nanga katika Bandari ya Zanzibar.

DSC_0507

Baadhi ya waheshimiwa waliohudhuria katika Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mafuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China katika Visiwa vya Zanzibar wakisikiliza Hotuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idi hayupo pichani uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

DSC_0555

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Ali Khalil Mirza akitoa maelezo mafupi ya  Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

DSC_0566

Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama akizungumza machache kuhusiana na Utafiti wa Mafuta na Gesi katika Visiwa vya Zanzibar katika Uzinduzi wa Meli ya  Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

DSC_0578

Muakilishi wa Kampuni ya BGP EXPLORER Gou Yunhui akizungumza machache katika Uzinduzi wa Meli ya  Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

DSC_0612

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Meli ya  Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.kulia ni Waziri wa Ardhi,Maji Nishati na Mazingira Salama Aboud Talib na kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya RAKGAS Dk,Osama.

DSC_0623

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa kartika picha ya pamoja na Viongozi mbalimbali katika Uzinduzi wa Meli ya  Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.

DSC_0650

Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Baloz Seif Ali Idi katikati akiwa na viongozi wengine akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Meli ya Utafiti wa Mfuta na Gesi BGP EXPLORER kutoka China uzinduzi uliofanyika katika Bandari ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.