Harmonize asema hiyo siku alimkuta akiwa na Bodguard zake wawili akiwemo mmoja yule mmasai anaesemekana kuwa ni mpenzi wake wa zamani. Walisalimiana na Kupeana namba na baadaye yule mzungu ambaye ni sarah alikuwa wa kwanza kumtafuta Harmonize. Wakachati wakatongozana sasa hivi wanategemea mtoto.