Ni official sasa kutoka kwa manager wa #diamondplatnumz
Wakuitwa @babutaleAthibitisha kuwa msanii wa bongo movie Tanzania @ireneuwoya8 ni mke halali wa msanii @dogojanjatz kwa kupost picha hii…. toa maoni yako unaionaje hii?Irene Uwoya amethibitisha tetesi za kuwa amefunga ndoa na Dogo Janja. Ameandika kwenye Instagram kuwa ana furaha kubwa kuolewa na rapper huyo ambaye ni mwanaume wa ndoto yake.
Kabla ya hapo, Irene Uwoya alikuwa ameolewa na Hamad Ndikumana na kujaaliwa kupata mtoto mmoja