Polepole asema Nyalandu amejiuzulu kutokana na kushindwa na kasi ya awamu ya 5 na kuwa, hali ikikushinda unakimbia kabla hujakatwa na shoka