Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimueleza jambo Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof Elisante Ole Gabriel wakati wa makibidhiano ya Ofisi,.

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel kitabu kilichoainisha baadhi ya changamoto za kibiashara hapa nchini wakati wa makibidhiano ya Ofisi,

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akisaini kitabu cha wageni wakati wa makabidhiano ya Ofisi, kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda.

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akisaini kitabu cha wageni wakati wa makabidhiano ya Ofisi.

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel moja ya kiatu bandia kilikichoingizwa nchini kinyemela

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo mara baada ya kukabidhiwa Ofisi.