Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akipokewa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisalimiana na watumishi wa ofisi yake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akizungumza na watumishi wa ofisi yake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika akisaini kitabu cha wageni ofisini kwake, mara baada ya kuwasili Makao Makuu ya ofisi yake mjini Dodoma.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akimuonesha moja ya picha za kumbukumbu za makatibu wakuu wa zamani wa Ofisi ya Rais-Utumishi wakati Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Kapteni (Mstaafu) Mhe. George H. Mkuchika alipomtembelea katibu huyo ofisini kwake, mara baada ya Waziri huyo kuwasili Makao Makuu ya ofisi ya Rais-Utumishi mjini Dodoma.