Pix 1

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akisalimiana na Katibu Mkuu  Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga wakati alipowasili katika Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 2

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Jinsia Bw. Julius Mbilinyi wakati alipowasili katika Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 3

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 4

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akipokea zawadi ya kadi kutoka kwa Katibu Mkuu  Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea katika Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma

Pix 5

Katibu Mkuu  Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bibi Sihaba Nkinga akielezea majukumu ya Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia  Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (hayupo pichani) wakati Naibu Waziri huyo alipotembelea katika Ofisi za Wizara Makao Makuu zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 6

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,  Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile akitoa maelekezo kwa watendaji wa Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto wakati alipotembelea Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 7

Baadhi ya watendaji wa Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakisikiliza maelekezo ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile  alipotembelea Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 8

Mkurugenzi wa Maendeleo ya Jamii Bw. Patrick Golwike akitoa neno la shukrani kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile kwa niaba ya Menejimenti kutoka Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati Naibu Waziri huyo  alipotembelea Ofisi za Wizara zilizopo UDOM Dodoma.

Pix 9

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinisa, Wazee na Watoto Mhe. Dkt Faustine Ndugulile akiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti  na watumishi wa Idara Kuu Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.

Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW.