The Art of Understanding Men leo nataka kuwapa darasa kidogo Wabebezz ni kwamba haihitaji kwa Mbebezz kuwa na PhD kumuelewa Mwanaume scientifically it has been proven kuwa Wanawake wana mature KIAKILI haraka kuliko sisi Wanaume yaani Wanawake wanakuwa na Akili na Busara mapema kabla yetu Wanaume na kwamba Wanawake wameumbwa na Akili inayoweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja sisi Wanaume Akili yetu ni one thinking at one time ndio maana utafiti unaonyesha Ajali nyingi za gari zinazotokana na Dereva kuwa kwenye simu huwa ni za Wanaume cause Wanaume hatuwezi kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja….now kama wewe ni Mwanamke wiki moja tu into a new relationship unatakiwa kujua tayari kama itadumu na ina thamani kuwa nayo au Hapana na kwa you Mamen ukiona Mwanamke baada wiki moja tu ya mahusiano anakukimbia ujue tayari keshaona mbali kuwa humfai na it is ok cause Wanawake wanao huo uwezo ambao sisi Wanaume hatuna kwa hiyo ukiona Mwanamke yupo kwenye mahusiano ambayo yanamuumiza lakini yumo tu ujue ni Akili ndogo sana …HOWEVER kuna kosa kubwa sana Wanawake huwa wanalifanya sana sana ni la how to behave baada ya kuachana na Mwanaume wenzetu Wazungu huwa wanaliweza sana hili yaani kama hawaelewani huwa wanaombana Space yaani nafasi kwanza ya kufikiri na kuamua kama waendelee au hapana sisi Wabongo huwa hatuna huo ustaarabu tutagombana Mwanaume atatfuta mwingine na Mwanamke naye pia then ndio tutarudiana baada ya some serious damages on both sides kumbe the ishu was very simple kupeana space tu ….kwa kawaida Wanaume tunapoachana na Mwanamke hasa baada ya kuwa pamoja kwa muda mrefu huwa wengi wetu hatuna uhakika kama ni sisi tuliomkosea Mwanamke au ni yeye huwa tunabaki in the dilemma na ndio maana Mwanamke akiamua kunyamaza kimyaa 95 Percent huwa tunamrudia kwa sababu kimya chako Mbebezz kinamtesa mpaka anaamua kuwa alikukosea lakini Mwanamke ukianza makelele na kujifanya kupata Bwana mpya haraka haraka ujue unajimaliza mwenyewe cause yule Mwanaume HATAKURUDIA sababu ni tayari umempa justifications kuwa hakukosea kuachana na wewe I mean ni darasa la bure kwa wote take it au niachie! – le Mutuz