Ni Dunia Tuu lakini napenda sana kuwa muubiri ikiwezekana nabii kabisa….Namapungufu yangu lakin nampenda sana Mungu nakumuamini siku zote za maisha yangu…Mimi ni Mtumishi Bora sana kwenye nafsi yangu namachoni pa watu wangu wa karibu waliyonizunguka Mungu ukimuanini hawezi akakusaliti,Mungu namkosea lkn nikitubu ananisamehe,Na kunichukulia km mpya na sio mkosefu,Nikimuomba pia ananipa kwa wakati ikichelewa najua sio yangu na ananipa tukio ambalo lazma nijue haikua yako,Mungu leo nina mengi sn ulionipa wakati nakuomba,vitu vingi sn umenipa nilivyovitaka unaniondolea na unanibariki ktk njia ambayo si kawaida,Asante sn Mungu wangu..