Kada maarufu wa CCM ambae pia ni Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde amezungumza kuhusu kujiuzulu kwa Lazaro Nyalandu ambae alikua Mbunge wa Singida Kaskazini.

Lusinde amesema “Mniambie toka Nyalandu ametoka kwenye uwaziri lini amesimama kuzungumza bungeni kama Mbunge alafu akasema hisia zake Spika akamkataza au kumtoa nje na Polisi? ndio maana nasema nina wasiwasi

Video nzima ya Lusinde akiongea ndio hii hapa chini bonyeza play kupata kila kitu…