Mtambo ushanilia sana nauli zangu kuusafiria Kabulu kushutia nipate Quality kwenye Video… nafurahi kuona sasa imeletwa na inapatikana Tanzania… ili kinachofaa kushutia home nasi tushutie….haya wacheki @zoom_production_ kwa Kuikodisha Camera hii RED DRAGON 6K!!! na pia kukodisha vifaa vingine vya Kushutia! @zoom_production_