Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai.
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai amwmuandikia Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC), Mheshimiwa Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage kumfamisha kuwa Jimbo la Singida Kaskazini liko wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Ndg. Lazaro S. Nyalandu kufutwa uanachama na Chama cha Mapinduzi.