The Art of Letting Go kwenye maisha ni muhimu sana kuachana na vitu pamoja na watu ni a natural process ambayo isipofanyika ni vigumu sana kwa Binadam kusonga mbele cause ulizaliwa wewe kama wewe naked hukuja na mtu wala material na kwenye kuzikwa ni the same unazikwa kama ulivyokuja Duniani mwenyewe so maamuzi ya kuachana na Watu au Vitu hayapaswi kuwa magumu sana infact nilishajifunza toka nikiwa mdogo through that process ya kwenda Shule Boarding kukubali kuachana na Watu bila tatizo so to this day sina tatizo la kuachana na anything ….my subject is ni kwanini ni muhimu inapofikia kuachana na binadam like marafiki au mpenzi ni kwa sababu Ndege wa Rangi moja huruka pamoja now sometimes inachukua muda kujuana rangi kwa binadam kwa sababu kuna binadam wazuri sana wa Kuigiza yaani mtu ana shida fulani anayojua kuwa una uwezo wa kumsaidia like Mbebez anakuja na kujifanya anakupenda so anajibadilisha na kujifanya ana tabia nzuri kumbe anaku set tu sasa kivumbi ni asipopata anachotaka au anaweza akapata akapata tamaa ya kupata zaidi lazima itatokea Conflict tu kwa sababu wewe unampenda Natural ukidhani tabia zake ni za kweli na yeye yupo kimasilahi so hayupo Natural but inatakiwa kuwa na AKILI KUBWAZZZ sana like me kuweza kuliona hilo kabla hamjafika mbali …so unaamua kuachana naye cause hamuwezi kufika mbali mtavurugana tu now kwa nini unaachana naye sio kwa sababu ni mtu mbaya au anything ila ndivyo binadam tulivyoumbwa kila mmoja na mapungufu yake ingawa pia always kuna option ya kuvumilia mapungufu ya unayempenda lakini yanatakiwa yawe mapungufu ya natural sio ya makusudi kwa sababu binadam ambaye yupo na wewe kimasilahi always atakuwa na mapungufu Unnatural ..kuna marafiki Wanafiki anajifanya yupo sawa na wewe kumbe anataka kukutumia tu hawa ukiwagundua unaachana nao tu kwa sababu sio ndege wa rangi moja na wewe na hata waseme nini kwa sababu kwa kawaida huwa ni watu wenye maneno mengi sana hamuwezi kufanana …guys jifunze how to protect your Heart and Interest na unapoamua kuachana na mtu hakikisha kuwa una FACTS ndio maana huwa nina FACTS za ninaowapenda na nisowapenda na nikikufuta siangalii nyuma tena HATUFANANI! – le Mutuz