The Art of Self Destructions ni kwamba kila kukicha nakuta sms nyingi in my inbox watu wananilalamikia Mange na wananitaka nimjibu na always wanalia wanamchukia sana kwanini Serikali inamuachia I mean huwa ninabaki na mshangao tu cause najiuliza how can it be possible unamchukia mtu unaye mfollow? …I mean binafsi I dont follow her na ninapoamua kumjibu huwa ni only ishus ambazo anakuwa ameeenda mbali sana na uongo wake ambao siku zote anapewa na watu wanaofurahia anavyowatukana na kuwadhalilisha wengine katika Jamii like in my case Mange amelelewa na Dada yangu tunaye share Baba na ninaambiwa tuna matatizo ya kugombea urithi wa Baba yetu ambaye yupo hai…hahahahahaha…ndio maana Mange hajawahi kumtukana Baba yangu kwa sababu anajua kwamba Dada yangu hawezi kupenda so hawezi na ukiona siku anamtukana Baba yangu ujue ndio mwisho wa mahusiano yake na Dada yangu na pia kuna my ex wife naye aliamua kuyapeleka machungu yake kwa Mange… so anaponitukana huwa amebeba mandate ya Dada yangu on URITHI na my ex anayetaka SHAMBA NA NYUMBA YANGU KINYEREZI wote hawanisumbui cause nina MUNGU wao wanaongozwa na Shetani ..na Mange the more anavyoni attack ni more anavyo ongezea umaarufu tu….my point is I hope nimemsaidia mtu mmoja tu kuelewa kuhusu Mange and me na kwamba mimi sipo hapa kumjibu jibu tu kama mnavyohangaika kunitumia sms please acheni cause mnapoteza muda bure siwezi kumjibu Mange kwa kuambiwa na mtu HAPANA huwa ninaamua mwenyewe na only nikisikia kuwa amevuka mistari ya ustaarabu …wale wote mnaonitumia hizi sms against Mange ninasema ni WANAFIKI wa kiwango cha juu sana cause kama kweli hupendi anayoandika kwa nini unam follow? kubali kwamba unapenda uzushi anaoandika maana binadam wengi tupo hivyo tunapenda Majungu yanayosikika kama ukweli na Mange is the Master of that ….kama anaitukana Serikali kama wengi mnavyodai then iachie Serikali cause wao sio wajinga wanajua sana wanachokifanya wewe msome Mange unyamaze au achana naye lakini usiende kumsoma na kuanza maneno ya uchonganishi ya eti mjibu! wewe ni mchonganishi huna lolote…nikiamua kumjibu Mange ni uamuzi wangu hauwezi kuwa wako! – le Mutuz