Msanii @richmavoko Wa @wcb_wasafi ambaye kwa sasa anabamba na Wimbo wake #RUDI akiwa ameshirikiana na @patorankingfire wa Nigeria Siku za hivi usoni ameingia katika Drama akihusishwa kutoka kimapenzi na Msanii mwenzake @luludivatz …hayo yamebainika baada ya Picha zao wakiwa katika mapozi ya kimahaba kuvuja huku baadhi ya watu wakaribu wamekuwa wakithibisha wawili hao ni wapenzi tena walioshibana… Huku stori hizi zikiendelea kusambaa kwa kasi sana Mrembo Mwingine anayejulikana kwa jina la @dayana_cutey Ameibuka na madai mazito kwamba @luludivatz amemuibia mpenzi wake huku akitokwa na maneno mazito kwamba luludiva si chochote bali anatumia pesa na Ustaa wake kumnyakua @richmavoko …Alipohojiwa na Ripota wetu kuhusu haya yote… Mrembo huyu amefunguka kuwa hawezi kukubali Luludiva amnyakulie mavoko hivyo atapambana kwa namna yeyote ile kwani lulu anamuona mshamba….Mpaka sasa Rich mavoko hajazungumza lolote kuhusu warembo hawa… Juhudi za kumtafuta zinaendelea ili kupata ubuyu kamili.